Home KITAIFA VYUMBA VYA MADARASA YA BOOST BUNDA DC VYAMKOSHA RC MTANDA

VYUMBA VYA MADARASA YA BOOST BUNDA DC VYAMKOSHA RC MTANDA

Mkuu wa Mkoa wa Mara Said Mtanda amepongeza Mkuu wa Wilaya ya Bunda na Mkurugenzi wa Bunda Dc kwa kusimamia vyema vyumba vya Madarasa ya BOOST ambapo amewaomba kuondoa dosali ndogondogo zilizobainika katika ujenzi wa madarasa hayo.

Mtanda ametoa kauli hiyo wakati akipita kukagua ujenzi wa vyumba hivyo ambapo amesema serikali imetoa fedha nyingi kuhakikisha inaondoa changamoto ya ukosefu wa madarasa pamoja na KUPUNGUZA changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hivyo dhamana waliyopewa nikuhakikisha wanasimamia miradi hiyo kwa nguvu zote nakuhakikisha inakamilika kwa wakati.

“Serikali inataka kuleta fedha zingine kwahiyo haiwezi kuleta kama hii mirad haijakamilika niwapongeze Sana viongozi wa Bunda kwanamna ambavyo mmetis jitihada kuhakikisha vyumba hivi vinakilika kama ilivyokusudiwa “Alisema Mtenda Mkuu wa Mkoa wa Mara.

Previous article“TUNACHOTAKA NI KUBORESHA BANDARI YETU” – ULEGA
Next articleDAVID SILVA ATANGAZA KUSTAAFU SOKA LA KULIPWA BAADA YA KUPATA MAJERAHA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here