Home KITAIFA VIJANA WANAOTAKA KUOA KUFADHILIWA

VIJANA WANAOTAKA KUOA KUFADHILIWA

Taasisi ya Kiislamu ya Al- Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 50 ambao wanahitaji kuoa.

 

Akizungumza katika mashindano ya 23 ya kimataifa ya uhifadhi wa Qur’an ambayo yamefanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, mwenyekiti wa taasisi hiyo, Sheikh Nurdin Kishki amesema kuwa mahari hiyo haitawahusu wale wanaotaka kuongeza mke wa pili.

 

Kishki amesema sharti hilo limewekwa kwa asiye na mke na sio lengo lake kusaidiwa wanaotaka kuongeza mke wapili.

“Tutafanya ndoa ya pamoja ya watu 50 mahari tutatoa Sisi Al-Hikma Foundation masharti usiwe unaongeza mke wa pili ndoa itafanyika Dar es salaam chini ya Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir”

Previous articleRAIS SAMIA AMNG’OA KIGOGO NDEGE ZA SERIKALI _ MAGAZETINI LEO JUMATATU APRILI 10/2023
Next articleAJALI YAUA 13 SONGEA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here