Home KITAIFA TANZANIA YASHIRIKI HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA USANIFU NA UPEMBUZI YAKINIFU...

TANZANIA YASHIRIKI HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA USANIFU NA UPEMBUZI YAKINIFU WA RELI YA KISASA GITEGA-BUJUMBURA-UVIRA-KINDU

Balozi wa Tanzania nchini DRC Mhe. Said Mshana, ameshiriki kikao cha nchi tatu cha mawaziri wa uchukuzi na kushuhudia utiaji saini mkataba wa usanifu na upembuzi yakinifu wa reli ya kisasa Gitega-Bujumbura-Uvira-Kindu kati ya CCTTFA kwa niaba ya serikali za Burundi na DRC na mkandarasi CPS Zutari

Hii ni muendelezo wa juhudi za serikali tatu za Tanzania-Burundi na DRC katika ujenzi wa reli ya Kisasa (SGR)ambapo kipande cha Tanzania mpaka Burundi kipo katika hatua mbalimbali. Tukio hili lilihudhuriwa na mawaziri, makatibu wakuu, mabalozi wa nchi zote tatu pamoja na wataalam

Previous articleWAFANYABIASHARA ILEJE WANOLEWA MFUMO MPYA WA TAUSI
Next articleDKT. YONAZI AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU CHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here