Home MICHEZO SIMBA SC YAMPA MKONO WA KWAHERI NYOTA MMALAWI PETER BANDA

SIMBA SC YAMPA MKONO WA KWAHERI NYOTA MMALAWI PETER BANDA

 

NA Dishon Linus

 

Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na winga Peter Banda.Banda (23) aliyesajiliwa Agosti 3, mwaka 2021 kutoka Nyasa Big Bullets ya nchini Malawi kwa mkataba wa miaka mitatu.

Katika kipindi cha miaka miwili tulichokuwa na Banda amekuwa mchezaji muhimu ambaye alikuwa akiongeza kasi katika safu ya ushambuliaji.

Uongozi wa klabu unathamini mchango wa Banda kwenye timu katika kipindi chote alichodumu nasi.Simba inamshukuru na kumtakia heri Banda katika maisha yake mapya ya soka nje ya Simba sc.

Marehemu Hans Pope wakati wa uhai wake alifanikiwa kumsajili Peter Bandari, Pape osmane Sakho pamoja na Sadio Kanoute, ambapo mpaka sasa Sakho kauzwa ufaransa Simba SC imefaidika Banda mkataba umevunjwa amebaki Kanoute maarufu kam (Putin)

Previous articleSAKATA LA ABIRIA KUPATA ADHA YA USAFIRI LAENDELEA MOROGORO LAFIKISHA SIKU 5,SERIKALI YAOMBWA KUINGILIA KATI
Next articleTAKUKURU MBEYA YAWABURUZA 14 MAHAKAMANI KWA UHUJUMU UCHUMI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here