Home MICHEZO RWANDA YAINGIA MKATABA WA UTALII NA KLABU YA BAYERN MUNICH YA NCHINI...

RWANDA YAINGIA MKATABA WA UTALII NA KLABU YA BAYERN MUNICH YA NCHINI UJERUMANI

 

Na Dishon Linus

Klabu ya Bayern Munich imetangaza rasmi kuingia mkataba wa ushirikiano na bodi ya maendeleo Rwanda 🇷🇼 kwa msimu wa 2023/24.
.
Mkataba huo wa miaka mitatu unahusu nembo inayosomeka ‘Visit Rwanda’ (Tembelea Rwanda), ambapo itakaa kwenye upande wa kushoto katika jezi za Bayern watakazovaa msimu huu.

Hii si mara ya kwanza Kwa Rwanda kusaini mkataba huu wa utalii wenye lengo la kutangaza nchi yao wamefanya hivyo kwa Arsenal,PSG na sasa Bayern.

Previous articleDC SAME ATOA MWEZI MMOJA GULIO KUHAMISHWA 
Next articleDC JOKATE AAHIDI KUWA BALOZI WA ZAO LA MKONGE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here