Home KITAIFA RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA MUUNGANO WA UMOJA WAFALME...

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA MUUNGANO WA UMOJA WAFALME ZA KIARABU (UAE)

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan uliowasilishwa na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 25 Aprili 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi alipofika Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 25 April 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi alipofika Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 25 Aprili 2023.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi mara baada ya kukabidhi Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar April 25, 2023.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan uliowasilishwa na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 25 Aprili 2023.

Previous articleTANZANIA KUSHIRIKIANA NA KOREA KUSINI KUTENGENEZA FILAMU BORA
Next articleWATAALAMU WA MAABARA MWANZA WATAKIWA KUZINGATIA MIIKO YA KAZI ZAO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here