Home KITAIFA RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO KWA WAKUU WA MIKOA NA WAKUU WA WILAYA KITAIFA RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO KWA WAKUU WA MIKOA NA WAKUU WA WILAYA By Mariam Mallya - May 23, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya baadhi ya wakuu wa mikoa , uteuzi wa Mkuu wa mkoa , uhamisho wa wakuu wa mikoa na uteuzi wa Mkuu wa wilaya kama ifuatavyo: