Home KITAIFA POSTA ILIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

POSTA ILIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

 

📍Morogoro📍

Shirika la Posta Tanzania limeshiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambapo kitaifa yamefanyika mkoani Morogoro.

Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu inayosema _”Mishahara Bora na Ajira za Staha ni Nguzo kwa Maendeleo ya Wafanyakazi Wakati ni Sasa”_ yalianzia viwanja vya shule ya sekondari Morogoro na kuhitimishwa katika uwanja wa Jamhuri ambako ndiko kilele cha maadhimisho hayo yalipofanyika.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Previous articleRAIS SAMIA AMEREJESHA MATUMAINI YA WATANZANIA, NGOs ZASEMA
Next articleSERA YA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI KUENDELEA KUFANYIWA MABORESHO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here