Home KITAIFA PAUL GODFREY (BOXER) AMWAGA WINO KWA WALIMA MPUNGA IHEFU

PAUL GODFREY (BOXER) AMWAGA WINO KWA WALIMA MPUNGA IHEFU

 

Wakati wajukuu wa mbongo maji wakiondokewa na mlinzi wa kulia Wadada alietimkia Singida fountain Gate, Ihefu nao wamjibu mapigo kwa kumchukua kijana na beki wa kulia Paul Godfrey maarufu kama boxer akitokea Singida Fountain Gate.

Paul Godfrey alisajiliwa na Singida Fountain Gate akitokea Yanga sc ,bahati mbaya zaidi kwake msimu huu alitemwa na Ihefu wameona umuhimu wake na yuko tayari kuwatumikia Mbogo maji msimu ujao wa kimashindano 2023/24.

Previous articleMUME WANGU ALIKUWA HAWEZI KULA URODA HADI NILIPOMPATIA DAWA HII
Next articleWAKULIMA WASHAURIWA KUTUMIA MBEGU ZILIZOFANYIWA TAFITI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here