Home KITAIFA MWENYEKITI WA BODI YA USHAURI NA UWEKEZAJI WA MFUKO WA MAFUTA YA... KITAIFA MWENYEKITI WA BODI YA USHAURI NA UWEKEZAJI WA MFUKO WA MAFUTA YA GESI ATEULIWA By Mariam Mallya - May 12, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Makame kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi na wajumbe wanne wa bodi.