Home KITAIFA MWANAMUZIKI WA DANSI HUSSEIN JUMBE AFARIKI DUNIA

MWANAMUZIKI WA DANSI HUSSEIN JUMBE AFARIKI DUNIA

Mwanamuziki maarufu wa dansi, Hussein Jumbe aliyeitwa Mzee wa Dodo na Mtumishi aliwahi kupitia bendi za Tabora Jazz, Mara Jazz, Urafiki Jazz, DDC Mliman Park ‘Sikinde’ na TOT Band, Juwata Jazz na Mikumi Sound, amefariki leo Jumatatu Aprili 10, 2023 katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam.

Mwanamuziki huyo mkongwe atakumbukwa kwa nyimbo nyingi alizozitunga baadhi zikiwa ni Nachechemea, Nani Kaiona Kesho, Isaya na Kiapo.
Previous articleUTOROSHAJI WA MADINI WADHIBITIWA MKOANI KATAVI
Next articleWANANCHI MWANZA WAOMBWA KUJITOKEZA KUMPOKEA MAKAMU WA RAIS KESHO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here