Home KITAIFA MRADI WA DREAMS ULIVYOWABADILISHA MABINTI KUACHANA NA BIASHARA YA KUUZA MIILI

MRADI WA DREAMS ULIVYOWABADILISHA MABINTI KUACHANA NA BIASHARA YA KUUZA MIILI

Zaidi ya mabinti 80,000 wenye umri wa miaka 14 hadi 24 kutoka katika kata 89 Mkoani Mbeya waliokuwa wakijihusiaha na biashara ya kuuza miili,wameokolewa kutoka kwenye biashara hiyo kupitia mradi wa “Dreams” unaofadhiliwa na Serikali ya Marekani kupitia mpango wa dharura wa Rais wa Marekani (PEPFER).

Kupitia mpango huo (PEPFER) hivi sasa mabinti hao kutoka Halmashauri za Kyela,Mbarali na Mbeya jiji , wamejengewa uwezo wa kujiajiri huku wakijihusisha na ujasiriamali ikiwemo ususi na ushonaji na kuachana kabisa na biashara ya kuuza miili,na kuwaokoa kutokana na hatari ya kupata magonjwa ya ngono kama vile UKIMWI.

Previous article“VIJANA JKT WAJIAJIRI NA KUJITEGEMEA” _ BASHUNGWA
Next articleDKT. SLAA AANIKA ANAVYOTETA NA MBOWE , LISSU _ MAGAZETINI LEO ALHAMISI MEI 25/2023

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here