Home KITAIFA MEYA NDILE :CHANDARUA SIO ZA KUVULIA SAMAKI

MEYA NDILE :CHANDARUA SIO ZA KUVULIA SAMAKI

 

Husna Hassan,Mtwara

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara Shadida Ndile,leo September 07,2023 ameongoza zoezi la ugawaji chandarua kwa wajawazito na kina mama katika Zahanati ya Lwelu iliyopo kata ya Jangwani Mkoani Mtwara.

Ndile amesema kuwa lengo la kutoa chandarua hizo kwa wajawazito na kina mama ni kumkinga mama na mtoto dhidi ya maambukizi ya Malaria

Aidha Ndile amewaomba kina mama hao kutumia chandarua hizo kwa matumizi yaliyo kusudiwa ,kwani kumekuwa na bahadhi ya watu wakitumia chandarua kuvulia Samaki na wengine kuweka kwenye bustani ya mboga mboga hivyo amewaomba wajawazito hao kwenda kutumia neti hizo kwa malengo kusudiwa.

Previous articleWAZIRI NAPE ATAKA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZIWE ZENYE TIJA NA KUBADILI MAISHA YA WATU
Next articleTANZANIA, ZAMBIA NA CHINA KUSHIRIKIANA UFUFUAJI TAZARA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here