Home KITAIFA MBUNGE TOUFIQ ALIA NA VIJANA KUACHANA NA MAMBO YA KIGENI

MBUNGE TOUFIQ ALIA NA VIJANA KUACHANA NA MAMBO YA KIGENI

Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Dodoma Fatma Toufiq amhoji je, Serikali inamkakati gani wakubaini mila zote nzuri ili kurudisha vijana wetu wa sasa waachane na mambo ya kigeni?

Akijibu swali hilo Waziri wa Maendeeo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amesema

‘’Nikweli kabisa nchi Tanzania tunazo mila nyingi sana nzuri ambazo kwa wakati wa sasa zingetusaidia kupambana na mabadilio ya mmonyoko wa maadili katika Dunia, ‘’

Ameongeza kwa kusema

‘’Hivyo basi nimepokea hojan hii tutakwenda kuunda kikosi kazi tukishirikiana na wizara ya utamaduni michezo na sanaa pamoja na wizara zingine zote tuweze kuja na list ya hizo mila nzuri pamoja tuweze kuweka mikakati ya kuzielemisha na kudhithibitisha nakuziweka kwenye kumbukumbu sahihi za mila zetu ambazo tutakuwa tunazifanyia kazi,’’

Previous articleWANANCHI WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA EL-NINO
Next articleJELA MAISHA KWA KUMUINGILIA MTOTO (9) KINYUME NA MAUMBILE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here