Home KITAIFA KUCHELEWESHWA KWA FEDHA YA KUJIKIMU KWAPUNGUZA ARI YA UTENDAJIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA...

KUCHELEWESHWA KWA FEDHA YA KUJIKIMU KWAPUNGUZA ARI YA UTENDAJIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA MOROGORO

 

Kucheleweshwa kwa fedha za kujikimu kumetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kuzorota kwa utendajikazi wa walimu wa shule za msingi na sekondari ajiria mpya waliopo halmashauri ya wilaya ya Morogoro

Hayo yamebainishwa wakati wa semina ya mafunzo juu ya umuhimu wa Chama cha Walimu (CWT) iliyowakutanisha walimu 107 katika halmashauri hiyo ambapo wamesema hali hiyo inawafanya wanashindwa kufanyakazi kwa ufasaha wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi ikilinganishwa wengi wao wamepangiwa vijijini .

Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Morogoro Mbaruku Chipeta amesema,tayari chama hiko kimeishafanya jitihada za karibu katika kuhakikisha fedha hizo za walimu zinalipwa kwa wakati na tayari wameishaongea na uongozi wa mkoa ili kuweza kutatua changamoto hiyo

Previous articleWAFUGAJI WATAKIWA KUACHA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI
Next articleWENYE MASHAKA AU WASIWASI NA DIRA (MITA) ZA MAJI WAENDE WAKALA WA VIPIMO (WMA) KWA UHAKIKI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here