Home MICHEZO KMC YAMPA MKONO WA KWA HERI CHRISTINA MWAGALA

KMC YAMPA MKONO WA KWA HERI CHRISTINA MWAGALA

 

Klabu ya KMC imempa mkono wa kwa heri aliyekuwa afisa habari wa timu hiyo Mwagala ambaye amehudumu kwa kipindi kirefu ndani ya timu hiyo.

Taarifa kutoka Kwa watu wa karibu na klabu hiyo zinasema mpaka sasa anatajwa Khalid chukuchuku mwanahabari nguli wa michezo kuchukua kibarua hicho.

Previous articleEZEKIEL MWASHILINDI ASAINI IHEFU
Next article“WATAALAMU WA HALMASHAURI PELEKENI KISARAWE MLICHOJIFUNZA NANENANE”_ DIBIBI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here