Home KITAIFA IGP MSTAAFU SIMON SIRRO KUAGWA KESHO KITAIFA IGP MSTAAFU SIMON SIRRO KUAGWA KESHO By Mariam Mallya - May 9, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Jeshi la Polisi Tanzania linatarajia kumuaga rasmi aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Mstaafu Balozi Simon Nyakoro Sirro tarehe 10 Mei 2023 baada ya kustaafu Utumishi ndani ya Jeshi la Polisi kwa kujibu wa sheria mwezi Machi 2023.