Home KITAIFA HOSPITALI YA KANDA BUGANDO YAFANYA MABORESHO YA KIWANDA CHA MAJI TIBA

HOSPITALI YA KANDA BUGANDO YAFANYA MABORESHO YA KIWANDA CHA MAJI TIBA

 

Hospitali ya Rufaa Kanda ya Bugando iliopo Mkoani Mwanza imefanya uzinduzi wa maboresho ya kiwanda cha maji tiba pamoja na uzinduzi wa maboresho ya mashine ya mionzi (MRI ) ambayo itatoa huduma kwa wazee na wakina mama wajawazito.


Massaga amesema, mpango uliopo kwasasa ni kuendelea na maboresho makubwa katika sehemu mbalimbali ikiwemo kitengo cha madawa katika kukiboresha na mkakati uliopo zaidi ni kuanza kutumia teknolojia za kisasa katika kitengo hicho.

Aidha amefafanunua zaidi kuhusu manufaa ya uboreshaji huo amesema, maboresho hayo yaliyofanyika katika kiwanda hicho kwa zaidi ya aslimia 90 yameweza kuokoa fedha ambazo zingetumika kununua maji tiba kutoka maeneo mengine.

Previous articleKLABU YA YANGA SC YAJIZOLEA TUZO MBILI KUTOKA NBC PL
Next articleBASI LA ABOOD LAUA WAWILI NA KUJERUHI WAWILI MOROGORO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here