Home MICHEZO EZEKIEL MWASHILINDI ASAINI IHEFU

EZEKIEL MWASHILINDI ASAINI IHEFU

 

Klabu ya Ihefu imekamilisha usajili wa kiungo wa mpira Ezekieli Mwashilindi kutoka Prison,Ihefu wameahidi kutangaza wachezaji watatu na tayari mmoja washamlizana nae bado wachezaji wawili.

wajukuu wa mbogo maji msimu uliopita walifanikiwa kubaki kwenye ligi kuu mara baada ya kufanya usajili mzuri katika dirisha dogo swali ni je msimu huu watafanya makubwa,ligi inaanza tarehe 15/8/2023 na Ihefu watakuwa nyumbani kukipiga na Geita Gold.

 

Previous articleWAKULIMA WASHAURIWA KUTUMIA MBEGU ZILIZOFANYIWA TAFITI
Next articleKMC YAMPA MKONO WA KWA HERI CHRISTINA MWAGALA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here