Google search engine

CHADEAMA YATAKA MKATABA BANDARI USITISHWE, SUGU ALIA NA WIZI SERIKALINI

  NA JOSEA SINKALA, MBEYA . Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Mbeya Joseph Mwasote (China) amesema mkataba wa Bandari ambao Serikali...

CWT LUDEWA WAWALILIA WENZAO KUFUTIWA UANACHAMA NA VIONGOZI WAO TAIFA

Na Mwandishi wetu _Njombe Wajumbe wa kamati tendaji ya Chama cha walimu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe (CWT) wameazimia kwa pamoja kutoingia kwenye uchaguzi wa...

“CHADEMA KUWENI NA SHUKRANI”-KINANA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka vyama vya upinzani nchini kuwa waungwana na wenye shukrani kwani Rais Samia...

“UONGOZI SIO SHATI KWAMBA KILA MTU ANAWEZA KUVAA”_ SEKIBOKO

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Husna Sekiboko amesema kuwa Uongozi si kama shati kwamba Kila mtu anaweza kuvaa badala yake amesema kiongozi...

“TUNACHOTAKA NI KUBORESHA BANDARI YETU” – ULEGA

  Waziri wa Uvuvi na Mifugo ambaye pia mbunge wa jimbo la Mkuranga mkoani Pwani Abdallah Ulega amesema tunachotaka ni kuboresha bandari yetu na sio...

CCM YAAGIZA MCHAKATO WA BANDARI UHARAKISHWE KUKIMBILIA MAENDELEO, SILINDE APIGILIA MSUMARI

  NA JOSEA SINKALA, MBEYA. Naibu Waziri wa Mifugo Mhe. David Ernest Silinde amesema Uwekezaji wa Bandari ni mpango unaokwenda kuongeza mapato ya nchi na kwamba...

“UWEKEZAJI WA DP WORLD NI HATUA ZA AWALI HATUJAINGIA MKATABA ZINAZOENDELA NI PROPAGANDA CHAFU”...

  Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma Fatma Hassan Toufiq amesema watu wamekuwa wakitumia suala la Uwekezaji wa DP World kwa ajili ya kujipatia...

RAIS SAMIA AONGOZA VIKAO VYA UONGOZI WA CCM NGAZI YA TAIFA

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Cha Halmashauri kuu ya...

TANZANIA YASHIRIKI KONGAMANO LA KIMATAIFA KATI YA CHINA NA AFRIKA KATIKA MASUALA YA USAWA...

Na WMJJWM, CHINA Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu ameshiriki Kongamano la kimataifa la Ushirikiano kati...

WAKULIMA RUNGWE WALIA NA MAKATO UUZAJI KAHAWA, USHIRIKA WAWASAIDIA KUPATA PEMBEJEO

  Na Josea Sinkala, Tukuyu Mbeya. Wakulima wa zao la Kahawa katika Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wameiomba Serikali kupunguza makato wanayokatwa wakati wa uuzaji zao...