DKT. BITEKO ASHUHUDIA FAINALI YA MWL.DOTO CUP BUKOMBE
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Biteko leo ameshuhudia fainali ya mashindano ya...
MBUNGE WA MSALALA ASISITIZA KUENDELEA KUINUA SEKTA YA MICHEZO
Na Joel Maduka,Kahama.
Mbunge wa Jimbo la Msalala Mhe. Iddi Kassim Iddi leo Oktoba 04, 2023 amesisitiza kuwa ataendelea kuinua sekta ya Michezo katika Jimbo...
MWAKAGENDA CUP YAZINDULIWA KUKEMEA UKATILI, KUTUNZA MAZINGIRA
NA JOSEA SINKALA, MBEYA.
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya Sophia H. Mwakagenda ameanzisha shughuli za michezo kwa kuandaa ligi yenye lengo la kuibua...
BULAYA CUP KUTIMUA VUMBI LEO
Mashindano ya Bulaya Cup yanatarajiwa kuanza kutimua Vumbi leo Oktoba Mosi,2023 katika viwanja mbalimbali wilayani Bunda mkoani Mara huku mashindano hayo yakishirikisha timu 22.
Mshindi...
RAIS SAMIA AAGIZA WIZARA YENYE DHAMANA NA MICHEZO KUJENGA VIWANJA VIWILI VYA KISASA
Na Dishon Linus.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza wizara ya Sanaa, Utamaduni na michezo kufanya maandalizi bora ya...
VIJANA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA DKT. CHAYA JIMBO CUP
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida Kemirembe Lwota amewataka Vijana wa Wilaya hiyo kujitokeza kwa wingi kuchangamkia fursa zinazoletwa na wadau mbalimbali ikiwemo...
MKUTANO WA IAWP NEW ZEALAND WAFUNGWA CP KAGANDA AWAKARIBISHA WAJUMBE TANZANIA KUONA MAAJABU YA...
Na. Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Auckland New Zealand.
Mkutano wa 60 Jumuiya ya Polisi wa kike duniani IAWP Umefungwa rasmi siku ya jana...
MAKATIBU WAKUU WA MICHEZO TANZANIA, KENYA NA UGANDA WAJADILI MAANDALIZI AFCON 2027
Timu ya Wataalamu wakiongozwa na Makatibu Wakuu wa michezo kutoka Tanzania, Kenya na Uganda ambazo kwa pamoja zinaomba kuwa wenyeji wa michuano ya Kombe...
BODI YA LIGI (TPLB) YAWAGOMEA SIMBA SC OMBI LA KUCHEZA AZAM COMPLEX
Na Dishon Linus
Bodi ya Ligi (TPLB) imekataa maombi ya Simba SC ya katakana kuutumia uwanja wa Azam compex, kwenye mchezo wao wa kesho dhidi...
TANZANIA NA MOROCCO KUSHIRIKIANA KWENYE SEKTA YA MICHEZO
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco hapa nchini Mhe. Zakaria El Goumiri...