HUYU MWANAMKE ANANIPA MAPENZI HADI NACHANGANYIKIWA
Hakuna raha katika maisha hasa upande wa mahusiano kama kumpenda anayekupenda, unakutana na mtu anakuonyesha mapenzi ya kweli kiasi kwamba anaanza kujiuliza ulikuwa wapi...
GLOBAL PEACE FOUNDATION TANZANIA YATOA MIRADI YA MAENDELEO KWA VIJANA
Husna Hassan, Mtwara
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Kanali Patrik Sawala ametembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ya vijana inayo tekelezwa na shirika lisilo la kiserikali...
WADAU WA KOROSHO WAOMBA SERIKALI KUANGALIA UPYA UTARATIBU WA VIBALI NA TOZO
Licha ya uwepo wa soko kubwa la zao la korosho nje ya nchi, baadhi ya wadau wa zao la korosho wameiomba serikali kuangalia upya...
TUWAPE ELIMU MAKUNGWI NA MANGARIBA ILI KUTOA ELIMU BORA KWA WATOTO
Husna Hassan,Mtwara
Kila ifikapo Novemba 25 ya kila mwaka dunia huzindua kampeni ya siku 16 za uanaharakati dhidi ya ukatili wa kijinsia ambapo nchini Tanzania...
JAMII FICHUENI VITENDO VYA UKATILI – DC MUNKUNDA
Husna Hassan,Mtwara
Jamii imeombwa kutofumbia macho vitendo vinavyohusiana na ukatili wa kijinsia ili kupunguza ongezeko la vitendo hivyo
Haya yameelezwa leo Novemba 25 ,2023 na Mkuu...
KUAHIRISHA SAFARI ATCL SAMBAMBA NA LUGHA ZISIZOFAA VYAMCHEFUA NAIBU WAZIRI KIHENZILE
Na mwandishi wetu, Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amewajia juu AirTanzania kutafuta sululu ya kudumu ya tatizo la kuahirisha safari...
TANZANI NI YA PILI AFRIKA KWA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kasimu Majaliwa Majaliwa amesema Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kuanzisha na kutekeleza...
KIHENZILE AITAKA DMI KUFUNGUA MATAWI YA CHUO MIKOANI
KIHENZILE AITAKA DMI KUFUNGUA MATAWI YA CHUO MIKOAN
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameutaka uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kuhakikisha...
AJINYONGA BAADA YA KUMCHARANGA MAPANGA MKE WAKE SABABU NI KUKUTA SMS ZA MAPENZI
Na Joel Maduka Geita.
Martine John (40) mkazi wa Geita Mjini amejinyonga hadi kufa baada ya kumjeruhi mke wake kwa kumkata na panga sehemu mbalimbali...
ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1 KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MSIMBATI NA MADIMBA
Husna Hassan,Mtwara
Mara baada ya ziara ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko katika kata ya Msimbati ya kukagua visima vya...