DKT. TAX AKUTANA NA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) amekutana na kuzungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Italia...
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 76 WA NCHI WANACHAMA WA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI
Na. WAF- Geneva, Uswisi
Tanzania imeshiriki Mkutano Mkuu wa 76 wa Nchi Wanachama wa Shirika la Afya Duniani, ulioanza Tarehe 21 hadi 30 Mei 2023...
UPINZANI WAPINGA BAJETI YA SH. MIL. 220.6 MANUNUZI MAVAZI YA RAIS MUSEVINI
Kambi ya upinzani bungeni nchini Uganda imepinga bajeti ya shilingi Milioni 350 Ush sawa na Milioni 220.6 Tsh iliyotengwa kwa ajili ya manunuzi ya...
MPISHI AVUNJA REKODI BAADA YA KUPIKA KWA ZAIDI YA SAA 90 BILA KUKOMA
Mpishi Hilda Bassey Effiong maarufu kama Hilda Bacci amekuwa maarufu mtandaoni baada ya kupika bila kukoma kwa zaidi ya saa 90, katika jaribio lake...
ERDOGAN NA DURU YA PILI YA UCHAGUZI.
Recep Tayyip Erdogan, Kiongozi wa muda mrefu wa Uturuki, anaonekana kuelekea kwenye duru ya pili ya uchaguzi wa Rais kwa mara ya kwanza baada...
MAJAMBAZI WAVAMIA STUDIO YA RADIO WAKATI WA MATANGAZO
Polisi nchini Kenya wameanza uchunguzi wa tukio la Majambazi waliokuwa na bunduki kuvamia kituo cha Radio yenye makao yake mjini Nakuru.
Video iliyosambaa mitandaoni inaonesha...
WAZIRI AJIUZULU BAADA YA VIDEO KUSAMBAA AKIPONDA STAREHE NA BINTIYE
Waziri wa mambo ya nje wa Papua New Guinea Justin Tkatchenko amejiuzulu baada ya mzozo kuhusu matumizi ya fedha kupindukia kwenye ujumbe rasmi wa...
NCHI YA VITANDA VITUPU, MBWA WACHUKUA NAFASI YA WATOTO
Papa Francis ameonya kuhusu watu wa Italia kuishi kwa ukaribu zaidi na mbwa na paka kiasi cha kuchukua nafasi ya watoto kwenye kaya.
Akiwa mjini...
RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WANAOISHI NAMIBIA ‘DIASPORA’
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi nchini Namibia (Diaspora) katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania...
RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA SADC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya...