Home KITAIFA BIASHARA YANGU IMEPAMBA MOTO BAADA YA KUFANYIWA DAWA HII

BIASHARA YANGU IMEPAMBA MOTO BAADA YA KUFANYIWA DAWA HII

Naitwa Steve, baada ya miaka mingi za kukusanya fedha zangu kwenye akiba, niliamua kuingia katika biashara ili kuweza kupata kipato cha kila siku.
Hivyo niliamua kufungua duka la kuuza vipodozi na nilihakikisha duka hilo lina vipodozi vya kutosha kwa wateja wangu ambao wengi wao walikua ni wanawake, inavyojulikana wanawake hutumia asilimia kubwa ya fedha zao kwa kujipodoa.

Kulikua na biashara kama yangu pale lakini nilikua na imani kuwa biashara hiyo ingefanya vizuri, kile nilichotilia maanani katika biashara hiyo ni njia ya kuweza kuvutia na kuwamiliki wateja wangu. Chuoni nilikua nimesomea mambo yanayohusiana na biashara, kwa hivyo nilikua na akili za kutosha.

Baada ya miezi mitatu katika biashara hiyo nilipigwa na butwaa kwa kuwa mauzo yalikuwa chini sana, kwa muda huo ilinibidi kutumia fedha zangu nyingine kulipa kodi ya fremu ya biashara.

Maji yalizidi unga kwa kuwa nilikuwa napata hasara kila uchao, wenzangu waliokuwa na biashara kama yangu walianza kunicheka na kusema sikuwa na akili yoyote ya kufanya biashara. Mwaka moja baadaye niliweza kumuarifu ndugu yangu yakuwa ninaiacha biashara hiyo na kurejea katika kazi yangu ya kuajiriwa.

Kaka yangu aliniambia nisikate tamaa kwani biashara hiyo itakuja kufanikiwa siku moja, aliweza kunipeleka kwa African Doctors, wataalam wa tiba asilia ambao waliweza kunisaidia kuinua biashara yangu.

Nilirejea katika biashara hiyo nikiwa na matumaini kiasi, siku tatu baada ya kukutana na African Doctors, biashara yangu ilianza kuchangamka sana, nilianza kumpokea mteja wengi sana. Ikanibidi niongeze vipodozi katika duka hilo kuweza kumudu idadi kubwa ya wateja wanaokuja dukani.
Kwa sasa biashara yangu inaendelea vizuri sana, pia African Doctors wanatibu magonjwa kama kifafa, kifua kikuu na mengine mengi.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

Previous articleSITA WASHIKILIWA NA POLISI SAME
Next articleBENKI YA NMB YATWAA TUZO TATU ZA KIMATAIFA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here