KITAIFA
UWT YAREJESHA TABASAMU KWA WANANCHI WA HANANG, YATOA MSAADA WA MABLANKETI,...
Na Mwandishiwetu
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mama Mary Chatanda ameongoza wanawake wa CCM Tanzania kutoa salamu za pole kwa wakazi...
KIMATAIFA
MAGAZETI
MICHEZO
MIAKA 8 YA HALOTEL “KIVUMBI NA HALOTEL” KAMPENI YAZINDULIWA, GARI ZIRO...
Kampuni ya Mtandao wa mawasiliano ya simu nchini ya Halotel hii leo, Oktoba 30, imezindua kampeni yake mpya ya 'Kivumbi na Halotel' ikiwa ni...
UONGOZI WA KLABU YA YANGA SC WAPANGA KUISHTAKI SIMBA SC
Na Dishon Linus.
Klabu ya Yanga imepanga kuwasilisha barua ya malalamiko na kuomba hatua kali zichukuliwe dhidi ya mashabiki waliovalia jezi za kalbu ya Simba...
UCHUMI
IDENTY – KAMERA YA SIMU KUTUMIKA KAMA KIFAA CHA UTAMBUZI NA UHAKIKI WA ALAMA...
Kampuni ya identy inayoshiriki maonesho ya Fintech Festival Tanzania 2023 imekuja na teknolojia ya kisasa ambayo inawezesha kamera ya simu yeyote kutumika kutambua alama...
FURSA YA AJIRA KUTOKA GH FOUNDATION
Employment Opportunities from GH foundation
Fursa za ajira kutoka GH Foundation
Namna ya kutuma maombi na sifa zinazohitajika zipo ndani ya tangazo hili 👇
WATAALAM WA KILIMO NCHI JIRANI KUALIKWA MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA NCHINI
Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. David Silinde ,amesema serikali imeanza kufikilia kuwaalika wakulima na wataalamu wa kilimo na mifugo kutoka katika nchi...
BENKI YA NBC YAZINDUA RASMI USAJILI WA MBIO ZA NBC DODOMA MARATHON 2023
Mbio za NBC Dodoma Marathon kufanyika tarehe 23.07.2023 Dodoma
Itahusisha mbio za Km42, Km21, Km10 na Km5
Mbio zinalenga kukusanya fedha kusaidia kuboresha afya ya mama...
MAKALA
NILIPOJUA BABA ANAKARIBIA KUFA NIKAMUOMBA MSAMAHA
Jina langu ni Omolla kutoka katika kaunti ya Homa Bay, nilikuwa mtoto pekee katika familia yetu, wazazi wangu walinithamini sana na kwa mara nyingi...
WEZI WAMEIBA KWANGU NA KUSHINDWA KUONDOKA!
Genge hatari sana lilivamia eneo letu na likuwa linaua na kuiba mali za watu, idadi kubwa ya maafisa wa polisi ilipelekwa katika eneo hilo,...
SIASA
DARAJA MTO NKANA MOMBA LINAHITAJI KUJENGWA KUWANUSURU WANANCHI
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa akiwa kwenye ziara ya chama hiko katika Kata ya Chitete...
CHADEMA WAITUPIA LAWAMA SERIKALI KUPANDA KWA GHARAMA ZA MAFUTA
Na Mwandishi wetu -Njombe
Wakati Serikali ikitangaza kupanda kwa bei ya mafuta hapo Agosti 2 mwaka huu wadau mbalimbali pamoja na wanasiasa wamelalamikia hatua hiyo...